Latest Updates

Sad: Msanii Wa Bongo Flava Side Boy Mnyamwezi Afariki

Habari za kusikitisha zilizothibitishwa, zinaeleza kuwa msanii wa bongo aliyekuwa anajulikana kama Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia hii leo.
Side amefikwa na umauti katika hospitali ya Nyangao iliyopo katika mkoa wa Lindi.
Msanii huyo alifahamika zaidi kwa wimbo wake wa ‘Kua uyaone’ aliomshirikisha Ali Kiba.
Nyimbo nyingine alizowahi kutoa ni pamoja na ‘Hujafa Hujaumbika’ na ‘Usimdharau Usiyemjua’.
Apumzike kwa Amani.

0 Response to "Sad: Msanii Wa Bongo Flava Side Boy Mnyamwezi Afariki"

Post a Comment