Latest Updates

Picha: Beyonce apata shida baada ya nguo kufunguka na kuacha kifua chote wazi akiwa jukwaani


Beyonce Knowles alipata tatizo la aina yake alipowasapraiz mashabiki wake kwa kuungana jukwaani na mumewe Jay Z ghafla katika Global Citizen Festival iliyofanyika wikendi iliyopita.  
Akiwa katika harakati za kuimba na kucheza, ghafla top yake nyeupe iliafunguka na kifua chake kubaki wazi huku ‘maziwa’ yakitoka nje ya bra iliyokuwa na rangi ya ngozi yake.
Hata hivyo, kitendo hicho kilifanyika ndani ya sekunde chache kiasi kwamba mashabiki waliokuwa wanashangweka hawakukishtukia hadi pale video ya show hiyo ilipotoka na wana habari wakacapture picha na hivi sasa imesambaa.
Katika hatua nyingine, Beyonce alionekana akiwa na pete ya ndoa kwenye jukwaa hilo hivyo kuzidi kuwaonesha watu kuwa ndoa yao iko imara tofauti na tetesi zisizokoma juu ya uhusiano wao.

0 Response to "Picha: Beyonce apata shida baada ya nguo kufunguka na kuacha kifua chote wazi akiwa jukwaani"

Post a Comment