Latest Updates

The Expendables 3 yavuja wiki moja kabla ya kutoka rasmi, watu waidownload bure kwa fujo


Filamu ya Expendables 3 ya Sylvester Stallone maarufu kama Rambo inayohusisha waigizaji wakubwa wa filamu za Action imevuja kwa wingi kwenye mitandao wiki moja kabla haijaachiwa rasmi.
Waandaaji wa The Expendables3 wamepata pigo baada ya filamu hiyo kuingia kwenye nakala za DVD mapema huku watu watu wakiidownload zaidi ya mara 189,000 masaa 24 ndani ya masaa 24, wakati huo filamu inatarajiwa kuanza kuoenekana kwenye majumba ya cinema Marekani kuanzia August, 5.
The Expendables3 inatarajiwa kuingiza zaidi ya $29 million katika wiki yake ya kwanza sokoni huku wateja wengi wakitarajiwa kuwa vijana zaidi.
Hata hivyo, inaonekana vijana wengi zaidi ndio walioidownload na kuivujisha zaidi

0 Response to "The Expendables 3 yavuja wiki moja kabla ya kutoka rasmi, watu waidownload bure kwa fujo"

Post a Comment