Latest Updates

Lady Jay Dee awashukuru mashabiki baada ya kupokea tuzo ya AFRIMMA


Lady Jay Dee ameipokea tuzo ya AFRIMMA ya mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki siku mbili baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo hiyo.
Baada ya kuishika mkononi tuzo hiyo ambayo inakuwa tuzo yake ya 30, Jide aka Commando amewashukuru mashabiki wake kwa ushiriano waliouonesha kwake.
 “Tuzo yangu ya 30. Asanteni kwa ushirikiano, nimeipokea na ninarudi nayo nyumbani. Shhhhhh! !!! Kimya Kimya.” Ameandika Lady Jay Dee kwenye ukurasa wake wa Facebook na kupost picha ya tuzo hiyo.

0 Response to "Lady Jay Dee awashukuru mashabiki baada ya kupokea tuzo ya AFRIMMA"

Post a Comment