Mwimbaji huyo ambaye anafahamika sana kwa comments za zinazotengeneza mijadala ambapo mara zote hizo hudai kuwa yeye ni bikira.
Mwisoni mwa wiki hii ameiambia Showtime kuwa anajitoa yeye kwa kundi la Boko Haram kama inawezekana wao kuwaachia wasichana wanaoshikiliwa na kundi hilo.
Ameamua kujitoa yeye ili iwe mbadala kwa watoto hao wa kike huku akiamini kwa kufanya hivyo wataachiwa huru.
“Sasa hivi ni saa tanto usiku, je unajua ninachofikiria? Wale wasichana wadogo, wapi walipo na nini kinawatokea muda huu. Sio sawa. Ni wadogo sana, natamani ningeweza kujitoa mimi kubadilishana nao, Wana umri kati ya miaka 12 hadi 15. Mimi ni mkubwa na nimeshazoea maisha zaidi yao. Hata kama wanaume 10 hadi kumi na mbili watanichukua kwa usiku mmoja, sijali. Nachojali waachie hao wasichana warudi kwa wazazi wao.
0 Response to " MWIMBAJI AJITOA KATIKA KUNDI LA BOKO HARAM"
Post a Comment