Latest Updates

Wimbo Mpya: Mike Tee- Mchepuko

posted 4 hours ago by admin
Mike Tee ameachia wimbo mpya alioupa jina la ‘Mchepuko’, mdundo wa wimbo huu umefanywa na Hermy B na vocal zimerekodiwa na producer Mbezi.
Mike Tee anajieleza kama mwanaume anaechepuka na kuingilia mahusiano ya wenzake huku akimshawishi msichana aendelee kumsaliti mumewe na kuchepuka naye!

0 Response to " "

Post a Comment