Latest Updates

NAY WA MITENDO AJIKITA KIMATAIFA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nay wa Mitego yupo nchini Thailand kwa ajili ya shughuri za kimuziki huku safari yake hiyo ikiwa ni ya wiki moja.
Safari yake hiyo ilianza nchini Nairobi ambapo amekaa siku mbili ndipo alipoanza safari yake kwenda nchini Thailand huko atatumia wiki moja kwa ajili ya kuutangaza muziki wake ikiambata na kazi zake za kimuziki.
Ameeleza kuwa safari yake hiyo anaamini itakuwa yenye mafanikio huku akikuza soko la muziki wake.

0 Response to "NAY WA MITENDO AJIKITA KIMATAIFA"

Post a Comment