Mwimbaji huyo anayetamba na album ya MUNGU AITWE MUNGU yenye nyimbo 8 zilizojaa ujumbe wa kumshukuru mungu kwa kumponya na kumpa mafanikio katika maisha yake kwani mpaka sasa ana watoto wawili aliowazaa akiwa na virusi vya ukimwi lakini kupitia maombezi na imani alijifungua salama na watoto wake ni wazima wa afya.
TAZAMA PICHA ZAKE WAKATI AKITOA USHUHUDA ..
Mwimbaji Rose williamu akiwa na Askofu wa kanisa la JCMI Paul Macha wakati akitoa ushuhuda kanisani hapo.
Rose akitoa ushuhuda wa kuponywa

Picha ya kava la nyimbo za rose linavyoonekana kwa nyuma.
Kava la nyimbo za rose linavyoonekana kwa mbele
0 Response to "HUYU HAPA YULE STAA WA GOSPEL HAPA BONGO MWANADADA ROSE WILIAMU ALIEPONA UKIMWI BAADA YA MAOMBI soma hapa kujua "
Post a Comment