Latest Updates

DIAMOND AHAHA KUTAFUTA COLLABO NA BEYONCE.





Hii Habari nimeisoma katika Gazeti moja Jana kuwa Diamond anahangaika kuwasiliana na Beyonce ili wafanye Wimbo Pamoja , Inasemekana Diamond alitafuta Number ya Beyonce kwa bahati nzuri akaipata na kumpigia simu na kumweleza anachotaka ila Beyonce akamkatiza na Kumuuliza huna Manager ? na Kisha kukata simu .

kwani Maswala ya Kazi Kwake lazima yapitie kwa Manager akiwa na Maana kuwa Manager wa Diamond Awasiliane na Manager wa Beyonce ndio Waanzia hapo kama kikieleweka poa , Mhh Goodluck Brother kama ni kweli na Ufuate Protocol.

0 Response to "DIAMOND AHAHA KUTAFUTA COLLABO NA BEYONCE."

Post a Comment