Latest Updates

PICHA::MVUA KUBWA ZILIZONYESHA JIJINI MBEYA ZALETA MAFURIKO NA UHARIBIFU ENEO LA ILOLOBibi Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 akilia kwa uchungu kuwa vitu vyote vya ndani vimeharibika pia anamshukuru mungu kumponya na mafuriko hayo kwani alikuwa amelala maji ndiyo yamestua kitandani kwani maji yaliingia mpaka ndani
 
 

Bibi Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 mkazi wa Ilolo akituonyesha jinsi maji yalivyoharibu vitu vyake
 
 
 

Kanisa la Moravian Ilolo likiwa limejaa maji ndani
 
 

Hakika inasikitisha watoto hawa wametoka shule wanakuta nyumba yao imebomoka na mvua kubwa ilionyesha jijini Mbeya  wazahi wa watoto hao hawakuwepo nyumbani
 
 
 
 
 
 
 
 

Mwenyekiti wa mataa Sinde A  Anyandwile Mwansanu akiongea na waandishi wa habari

 
 
 
 

Mama na mwanae mgongoni hajui aanzie wapi kutoa maji yalioingia nyumbani kwake
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


Picha na Mbeya yetu

0 Response to "PICHA::MVUA KUBWA ZILIZONYESHA JIJINI MBEYA ZALETA MAFURIKO NA UHARIBIFU ENEO LA ILOLO"

Post a Comment