Latest Updates

MAURICE KUUNGANA NA KIDUMU


Mwanamuziki Maurice Kirya amewataka mashabiki kukaa mkao wa kula kutokana na kuwa katika maandalizi ya mwisho ya kutengeneza wimbo aliomshirikisha mwanamuziki kutoka nchini Burundi Jean Pierre Nimboma 'Kidumu'.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter mwanamuziki huyo aliandika kuwa wanampango wa kufanya kitu kizuri na mkongwe huyo wa muziki kutoka Burundi walifanya mazungumzo hayo siku chache zilizopita

0 Response to "MAURICE KUUNGANA NA KIDUMU"

Post a Comment