Latest Updates

JOHN MAKINI AJIVUNIA NJE YA BOX KUANZA KUCHEZWA CHANNEL OMsanii wa muziki wa kizazi kipya nchini John Makini ajivunia video yao ya Nje ya Box kuanza kuchezwa Channel O, ambapo amedai kuwa ni moja ya njia ya kuelekea mafanikio yao.

Akizungumza na Pro-24 msanii huyo alisema kuwa kutengeneza muziki mzuri ndio moja ya vitu vinavyowafanya wawe hapo walipo huku akiamini kuwa bado anasafari ndefu kufika katika ngazi ya kimataifa


0 Response to "JOHN MAKINI AJIVUNIA NJE YA BOX KUANZA KUCHEZWA CHANNEL O"

Post a Comment